Job 15:25-26


25 akwa sababu amemkunjia Mungu ngumi yake
na kujigamba dhidi ya Mwenyezi,

26 bkwa kiburi akishambulia dhidi ya Mungu
akiwa na ngao nene, iliyo imara.

Copyright information for SwhKC